MASKINI HUYU PUNDA KABEBESHWA MZIGO WA KILO 400 WAKATI YEYE ANA KILO 40 ?
TETEA HAKI ZA WANYAMA
JAMANI JAMANI HUYU DEREVA ALIKUWA KWENYE SPEED GANI MPAKA GARI KUBINUKA HIVI?
HII AJALI ILITOKEA DAR - ES - SALAAM
HII AJALI ILITOKEA NJE DIDOGO YA JIJI LA DAR-ES-SALAAM,KIBAHA
HUYU DEREVA WA HILI GARI ALIKUWA AMELEWA,LAKINI HAKUNA ALIYEKUFA ILA MAJERUI WALIKIMBIZWA HOSPITALI YA TUMBI KIBAHA,NA HAWA NI WANANCHI WANASHANGAA JINSI AJALI ILIVYOTOKEA,
No comments:
Post a Comment